Ads (728x90)

KWARE TANZANIA  

KT ni blog ya biashara ya ufugaji Kware ambayo inaongozwa na wafugaji mahili Tanzania tukiwa na makao makuu jijini Dar es salaam. 

Huduma tunazotoa ni kama zifuatazo: 

1. Kutoa elimu ya Ufugaji wa Kware. (Faida zake, fursa na changamoto)

2. Kuuza mayai, vifaranga kwa kware na hata kware wanaotaga kwa idadi kubwa.

3. Kuelekeza jinsi ya mapishi na utengenezaji wa mabanda.