Ads (728x90)

Watafiti wa Uingereza wamesema yai la 
kware liitwe "Super- Food" kutokana na
 kuwa na faida nyingi sana katika Afya 
ya binadamu na hata kusaidia kuushinda
 utapiamlo. Kutokana na mabwana Lishe 
wanasema yai la kware ni moja kati ya 
vyakula vyenye virutubisho vingi muhimu 
hata kila mtu anatakiwa ale moja kwa 
siku. Gazeti la Lishe na Science ya 
Chakula iliandika makala ambayo watafiti
 wanasisitiza umuhimu wa nafasi ya yai la
 kware katika kinga nzuri ya mwili, kupunguza unene na kutunza mwili wa binadamu.

Dr. Carriel Ruxton, kiongozi wa utafiti uliokuwa na data za tafiti nyingine zilizopita
 71 akiwa na wenzake. Tafiti hiyo ililenga kutazama jinsi yai la KUKU lina nafasi ya 
kiafya kwa mwili wa binadamu, utafiti huo uliishia na ufumbuzi kwamba yai la kuku 
halina Caroliries za kutosha, bali yana protini na vitamini nyingine muhimu sana kwa 
binadamu kama Vitamini D na B12, selenium na Chroline.

YAI LA KWARE:

Mayai ya Kware yamethibitishwa kuwa ni chanzo kikuu cha vitamin A, B1, B2, B6, B12
 na Vitamin D, madini ya chuma, zinc, Copper, phosphorus, na virutubisho vingine, 
madini ya mwilini na amino acids ambayo yanapelekea yai hili kuwa chakula muhimu
 kwa lishe ya binadamu.

Kula mayai ya kware kwa afya njema inashauriwa kuyala yakiwa mabichi. Watu 
wengi hawapendi kuyala yakiwa mabichi lakini kuyafanya yawe matamu ni kuchanganya 
na maziwa na asali au soma Jinsi ya kutengeneza Milkshake ya ndizi na Mayai ya Kware .
 Kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili na kuongeza ubora wa damu utumiaji 
wa mayai 60 unahitajika. Mwanzo tumia mayai 3, halafu mayai 5 kwa siku, 
Hakuna anayesema kwamba mayai ya kware hutibu magonjwa makubwa kama Kansa
 lakini faida zake kwenye mwili wa binadamu zimethibitishwa na madaktari bingwa. 

Mayai ya Kware yanachukuliwa kama ni tiba namba moja ya asili. Madaktari 
wakichina wajadi wamekuwa wakitumia mayai ya kware mamia ya miaka iliyopita
\ na yamewapa matokeo mazuri kwa muda wote huo. Kadri yai hili linavyokuwa rahisi 
kupatikana watu wengi wanabadilika kutoka kwa kutumia madawa ya kemikali na 
kurudia tiba hii ya asili. 

Wataalamu hao wa tiba za asili wanathibitisha yai hili kuwa na faida kimatibabu
 kwa wagonjwa wa msongo wa mawazo, hypertension (BP), wanaosumbuliwa na
 kuchelewa kwa mzunguko wa chakula tumboni, vidonda vya tumbo, matatizo ya 
maini, pumu, lipid control, migraine, anemia, na baadhi ya aina za allergy, eczema
, matatizo ya moyona mapafu. Quail eggs are also known to stimulate growth, 
increase sexual appetite, stimulate brain functions which improves intelligence
 quotient and generally rejuvenates the body.

Tafiti Nyingine: 

1. http://dx.doi.org/10.4067/S0716-97602009000100010 

2. Quail eggs: Small but wonderful 

Post a Comment


  1. I think this is an informative post and knowledgeable. I would like to thank you for the efforts you have made in writing this article
    packers and movers in patna

    ReplyDelete