Watafiti wa Uingereza wamesema yai la kware liitwe "Super- Food" kutokana na kuwa na faida nyingi sana katika Afya ya binadamu na hata kusaidia kuushinda utapiamlo. Kutokana na mabwana Lishe wanasema yai la kware ni moja kati ya vyakula vyenye virutubisho vingi muhimu hata kila mtu anatakiwa ale moja kwa siku. Gazeti la Lishe na Science ya Chakula iliandika makala ambayo watafiti wanasisitiza umuhimu wa nafasi ya yai la kware katika kinga nzuri ya mwili, kupunguza unene na kutunza mwili wa binadamu.
Dr. Carriel Ruxton, kiongozi wa utafiti uliokuwa na data za tafiti nyingine zilizopita 71 akiwa na wenzake. Tafiti hiyo ililenga kutazama jinsi yai la KUKU lina nafasi ya kiafya kwa mwili wa binadamu, utafiti huo uliishia na ufumbuzi kwamba yai la kuku halina Caroliries za kutosha, bali yana protini na vitamini nyingine muhimu sana kwa binadamu kama Vitamini D na B12, selenium na Chroline.
YAI LA KWARE:
Mayai ya Kware yamethibitishwa kuwa ni chanzo kikuu cha vitamin A, B1, B2, B6, B12 na Vitamin D, madini ya chuma, zinc, Copper, phosphorus, na virutubisho vingine, madini ya mwilini na amino acids ambayo yanapelekea yai hili kuwa chakula muhimu kwa lishe ya binadamu.
Kula mayai ya kware kwa afya njema inashauriwa kuyala yakiwa mabichi. Watun wengi hawapendi kuyala yakiwa mabichi lakini kuyafanya yawe matamu ni kuchanganya na maziwa na asali au soma Jinsi ya kutengeneza Milkshake ya ndizi na Mayai ya Kware . Kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili na kuongeza ubora wa damu utumiaji wa mayai 60 unahitajika. Mwanzo tumia mayai 3, halafu mayai 5 kwa siku, Hakuna anayesema kwamba mayai ya kware hutibu magonjwa makubwa kama Kansa lakini faida zake kwenye mwili wa binadamu zimethibitishwa na madaktari bingwa.
Mayai ya Kware yanachukuliwa kama ni tiba namba moja ya asili. Madaktari wakichina wajadi wamekuwa wakitumia mayai ya kware mamia ya miaka iliyopita na yamewapa matokeo mazuri kwa muda wote huo. Kadri yai hili linavyokuwa rahisi kupatikana watu wengi wanabadilika kutoka kwa kutumia madawa ya kemikali na kurudia tiba hii ya asili.
Wataalamu hao wa tiba za asili wanathibitisha yai hili kuwa na faida kimatibabu kwa wagonjwa wa msongo wa mawazo, hypertension (BP), wanaosumbuliwa na kuchelewa kwa mzunguko wa chakula tumboni, vidonda vya tumbo, matatizo ya maini, pumu, lipid control, migraine, anemia, na baadhi ya aina za allergy, eczema, matatizo ya moyona mapafu. Quail eggs are also known to stimulate growth, increase sexual appetite, stimulate brain functions which improves intelligence quotient and generally rejuvenates the body.
Jinsi ya utumiaji wa mayai ya kware kulingana na umri.
Umri (Miaka) | Jumla ya Idadi ya Mayai | Jumla ya Idadi ya Siku | Siku ya 1 | Siku ya 2 | Siku ya 3 | Siku ya 4 na kuendelea |
Mtu Mzima | 240 | 49 | 3 | 3 | 4 | 5 |
Mtu Mzima | 120 | 25 | 3 | 3 | 4 | 5 |
16-18 | 120 | 25 | 3 | 3 | 4 | 5 |
11-15 | 120 | 31 | 3 | 3 | 3 | 4 |
8-10 | 90 | 30 | 3 | 3 | 3 | 3 |
4-7 | 60 | 20 | 3 | 3 | 3 | 3 |
1-3 | 60 | 30 | 2 | 2 | 2 | 2 |
Miezi 3 hadi mwaka 1 | 30 | 30 | 1 | 1 | 1 | 1 |
Wataalamu wa dawa za asili wameshauri utaratibu ufuatao uweze kutumika na watu wataotumia mayai ya kware kwa ajili ya kusaidia matibabu ya ugonjwa husika kama ifuatavyo:-
Kwa Watoto: Ulaji wa mayai ya kware unashauriwa kwa watoto yakiwa mabichi au yamepikwa kwa ajili ya nguvu za mwili na akili. mayai ya kware yanakuza akili. | |
Ukuaji wa mwili na Afya | 100eggs |
Kuimarisha misuli na kufanya ubongo ufanye kazi vizuri | 120eggs |
Kwa Wazee: Mayai ya kware yanatabia kubwa ya kukuza celi za mwili hivyo inashauriwa sana kwa wazee kutumia. Inaweza kuppoza makali/au kutibu magonjwa mengi yanayoendana na uzee, ukosefu au kuzidi kwa virutubisho mwilini. | |
Mayai ya Kware yanasaidia kuirudisha Afya ya binadamu katika hali ya kawaida na kusaidia ukuaji. | 240eggs |
Kurudisha kumbukumbu na kurinda seli husika | 120eggs |
improves sexual potency | 120eggs |
Kuimarisha kiungo kilichodumaa kutokana na kazi nyingi au msongo wa mawazo. | 240eggs |
Kuimarisha Mwili. | 240eggs |
Matibabu ya Allergy | |
Pumu | 240eggs |
Madoa katika Ngozi | 120eggs |
Eczema conjunctivitis (Kuathirika kwa kiwambo cha jicho kutokana na Allergy) | 120eggs |
Allergic rhinitis (kuathirika kwa ndani ya pua kutokana na Allergy) | 240eggs |
Matibabu ya Mfumo wa Mmeng'enyo | |
Vidonda vya Tumbo | 240eggs |
Kuchelewa mmeng'enyo wa chakula. | 120eggs |
Utoaji wa kemikali nyingi za kusaidia mmeng'enyo kuliko kawaida. | 120eggs |
Matibabu ya Magonjwa ya Ini | |
Imarisha utendaji kazi wa Viungo | 240eggs |
Matibabu ya Magonjwa ya Figo | |
Imarisha utendaji kazi wa Viungo | 240eggs |
Matibabu ya Magonjwa ya Moyo | |
Improves the functioning of the heart in the case of coronary sclerosis | 240eggs |
Matibabu ya Mzunguko wa Damu | |
Anaemia | 240eggs |
Arterial hypertension | 240eggs |
Treatment of metabolic diseases: | |
gouts | 240eggs |
Kitambi/Utapiamlo | 240eggs |
Kisukari | 240eggs |
Matibabu ya Akili | |
neurasthenics | 240eggs |
Afya ya Akili | 240eggs |
Faida za Mayai ya Kware wakati wa Mimba na Unyonyeshaji Mtoto: | |
Matumizi ya mayai ya Kware huimarisha mwili wa mama kabla na baada ya kujifungua pamoja na baada ya operation na matibabu yanayohusisha mashine za mionzi kama X-Ray. Pia huimarisha akili na mwili wa mtoto pamoja na kumsaidia mama kuimarika baada ya kujifungua. Mayai ya Kware husaidia kuongeza ubora wa maziwa ya mama. | 240eggs |
HIV, AIDS: | |
Matumizi ya mayai ya kware huongeza kinga ya mwili yaani CD4. | 240eggs |