Ads (728x90)

Tunauza mayai ya Kware na tunafikisha nchini kote.

Bei zetu ni Elfu 20 Tshs kwa Tray na inapungua endapo mteja atachukua Mayai mengi. 

Tunauwezo wa kutoa hadi Mayai 1000 kwa wakati mmoja. 

Tunaweza kusafirisha nje ya nchi bila tatizo. 

Mayai yetu hayana mchanganyiko wowote wa kemikali kwani tunawafuga kienyeji na hakuna kemikali zilizotumika. Kwa mayai haya utapata lishe bora. 

Wasiliana nasi kwa 0785402424 au barua pepe jeysonnz@gmail.com