Kama tunavyofahamu kwamba mayai ya kware ili uweze nufaika nayo kwa asilimia kubwa inapaswa uyanywa kama yalivyo bila kuchemsha au kukaanga.
Kutengeneza Milkshake ya ndizi na mayai ya kware unahitaji vifuatavyo:
1. Ndizi (zilizoiza sana ili usilazimike kuongea sukari)
2. Mayai ya kware (5)
3. Grass 1 ya maziwa
4. Vanila (sio lazima)
5. Kijiko 1 cha sukari (ikilazimika tu)
Jinsi ya Kutengeneza:
Weka vitu vyote ndani ya kisagio (blender) kama huna blender saga kwa njia za kawaida.
Kunywa papo hapo.
Kwa manufaa ya kiafya kunywa kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa (Breakfast). Utazoea njia hii na kutokana na maelezo ya watu wengi njia hii ndio njia nzuri zaidi ya kunywa mayai ya kware.
Post a Comment