Ads (728x90)


Tunauza vifaranga vya Kware.

Tunashauri kwa wengi wanaoanza kufuga kware kwa mara ya kwanza kuchukua vifaranga kwa wiki mbili na kuendelea kutokana na ugumu wa ukuzaji.

Kware ni ndege wa kipekee sana na wala haumfananishi na kuku wa kienyeji au wa kizungu kwa zile wiki mbili za kwanza. Ni wiki muhimu na wazoefu pekee huweza kuwahudumia. Kama ndio unaanza ni muhimu kuchukua kware mwenye wiki mbili na kuendelea kwa sababu ya kutopoteza mtaji wako. Watu wengi waliochukua vifaranga vya siku moja huishia kupoteza wote na kupata hasara.

*Kumbuka baada ya wiki 8 kware mmoja hutaga idadi ya mayai 280 - 290 kwa muda wa miezi 14 - 16 mfurulizo .
Bei zetu za Vifaranga:

Wiki 2/3:    1 kwa 12,000 Tshs 

Wiki 7:       1 kwa 30,000 Tshs