Ads (728x90)


Hapana, Hakuna ugumu wa kufuga kware waliofika wiki 2 lakini kuanzia kware wa siku moja ni ngumu kidogo unaweza kuomba msaada wa mzoefu au kwa urahisi ni vizuri ununue kware walio na ukubwa wa wiki mbili tayari. Chunga sana kware wako wasiruke nje ya banda. Ni ngumu kuwapata hakikisha wanakuwa ndani ya banda.

Post a Comment