Ads (728x90)



MFUGAJI: Hapana, Kware hawapati magojwa kama ilivyo kuku wa kizungu kware ni ndege wa porini hivyo ni kama kuku wa kienyeji. Lakini kwa kujihami kama mfugaji unaeanza unaweza kuwapa chanjo. Kware ni ndege wanaopendeza na wanapenda kuchokozana kwahiyo pale kware mmoja anapumizwa na wengine unaweza tumia maji ya jani la Aloevera kumpaka bila kumtenga na wengine. 

Post a Comment