Ads (728x90)

Upikaji au uchemshaji wa mayai ya kware ni suala la muda tu. 

Chukua sufuria ijaze maji kiasi halafu yachemshe baada ya hapo yakiwa yanachemka tumia kijiko kuweka yai lako taratibu ili lisivunjike. Chemsha kwa muda utaopendezwa nao ukishamaliza weka sufuria katika maji yabaridi kisha pasua taratibu yai lako likiwa lenye ubaridi. 

Angalizo; Pasua taratibu sana maana ni yai dogo tu.

Ukichemsha yai kwa Dakika 2 yai lako litakuwa kama hivi. litakuwa lina urojo sana.




Ukichemsha yai kwa Dakika 2.5 litakuwa hivi. 




Hili ni yai lililochemshwa kwa dakika 3. 




Hili ni yai lililochemshwa kwa dakika 4.



Post a Comment

  1. habari ya leo?
    Mimi napenda kufuga kware hao vifaranga nitawapata wapi na ni bei gani kwa mmoja?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inategemea na ni wa wiki ngapi. Nitafute kwenye 0785402424

      Delete
  2. chakula kipi ambacho kwale upenda kukila

    ReplyDelete