MATUMIZI
Jinsi ya utumiaji wa mayai ya kware kulingana na umri.
| Umri (Miaka) | Jumla ya Idadi ya Mayai | Jumla ya Idadi ya Siku | Siku ya 1 | Siku ya 2 | Siku ya 3 | Siku ya 4 na kuendelea |
| Mtu Mzima | 240 | 49 | 3 | 3 | 4 | 5 |
| Mtu Mzima | 120 | 25 | 3 | 3 | 4 | 5 |
| 16-18 | 120 | 25 | 3 | 3 | 4 | 5 |
| 11-15 | 120 | 31 | 3 | 3 | 3 | 4 |
| 8-10 | 90 | 30 | 3 | 3 | 3 | 3 |
| 4-7 | 60 | 20 | 3 | 3 | 3 | 3 |
| 1-3 | 60 | 30 | 2 | 2 | 2 | 2 |
| Miezi 3 hadi mwaka 1 | 30 | 30 | 1 | 1 | 1 | 1 |
Wataalamu wa dawa za asili wameshauri utaratibu ufuatao uweze kutumika na watu wataotumia mayai ya kware kwa ajili ya kusaidia matibabu ya ugonjwa husika kama ifuatavyo:-
| Kwa Watoto: Ulaji wa mayai ya kware unashauriwa kwa watoto yakiwa mabichi au yamepikwa kwa ajili ya nguvu za mwili na akili. mayai ya kware yanakuza akili. | |
| Ukuaji wa mwili na Afya | 100eggs |
| Kuimarisha misuli na kufanya ubongo ufanye kazi vizuri | 120eggs |
| Kwa Wazee: Mayai ya kware yanatabia kubwa ya kukuza celi za mwili hivyo inashauriwa sana kwa wazee kutumia. Inaweza kuppoza makali/au kutibu magonjwa mengi yanayoendana na uzee, ukosefu au kuzidi kwa virutubisho mwilini. | |
| Mayai ya Kware yanasaidia kuirudisha Afya ya binadamu katika hali ya kawaida na kusaidia ukuaji. | 240eggs |
| Kurudisha kumbukumbu na kurinda seli husika | 120eggs |
| improves sexual potency | 120eggs |
| Kuimarisha kiungo kilichodumaa kutokana na kazi nyingi au msongo wa mawazo. | 240eggs |
| Kuimarisha Mwili. | 240eggs |
| Matibabu ya Allergy | |
| Pumu | 240eggs |
| Madoa katika Ngozi | 120eggs |
| Eczema conjunctivitis (Kuathirika kwa kiwambo cha jicho kutokana na Allergy) | 120eggs |
| Allergic rhinitis (kuathirika kwa ndani ya pua kutokana na Allergy) | 240eggs |
| Matibabu ya Mfumo wa Mmeng'enyo | |
| Vidonda vya Tumbo | 240eggs |
| Kuchelewa mmeng'enyo wa chakula. | 120eggs |
| Utoaji wa kemikali nyingi za kusaidia mmeng'enyo kuliko kawaida. | 120eggs |
| Matibabu ya Magonjwa ya Ini | |
| Imarisha utendaji kazi wa Viungo | 240eggs |
| Matibabu ya Magonjwa ya Figo | |
| Imarisha utendaji kazi wa Viungo | 240eggs |
| Matibabu ya Magonjwa ya Moyo | |
| Improves the functioning of the heart in the case of coronary sclerosis | 240eggs |
| Matibabu ya Mzunguko wa Damu | |
| Anaemia | 240eggs |
| Arterial hypertension | 240eggs |
| Treatment of metabolic diseases: | |
| gouts | 240eggs |
| Kitambi/Utapiamlo | 240eggs |
| Kisukari | 240eggs |
| Matibabu ya Akili | |
| neurasthenics | 240eggs |
| Afya ya Akili | 240eggs |
| Faida za Mayai ya Kware wakati wa Mimba na Unyonyeshaji Mtoto: | |
| Matumizi ya mayai ya Kware huimarisha mwili wa mama kabla na baada ya kujifungua pamoja na baada ya operation na matibabu yanayohusisha mashine za mionzi kama X-Ray. Pia huimarisha akili na mwili wa mtoto pamoja na kumsaidia mama kuimarika baada ya kujifungua. Mayai ya Kware husaidia kuongeza ubora wa maziwa ya mama. | 240eggs |
| HIV, AIDS: | |
| Matumizi ya mayai ya kware huongeza kinga ya mwili yaani CD4. | 240eggs |
Post a Comment