 Jinsi ya utumiaji wa mayai ya kware kulingana na umri.
Jinsi ya utumiaji wa mayai ya kware kulingana na umri. 
Hapa chini ni mtiririko wa kitaalamu ukielezea kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kutumia mayai ya kware kama Tiba.
 
| Umri (Miaka) | Jumla ya Idadi ya Mayai | Jumla ya Idadi ya Siku | Siku ya 1 | Siku ya 2 | Siku ya 3 | Siku ya 4 na kuendelea | 
| Mtu Mzima | 240 | 49 | 3 | 3 | 4 | 5 | 
| Mtu Mzima | 120 | 25 | 3 | 3 | 4 | 5 | 
| 16-18 | 120 | 25 | 3 | 3 | 4 | 5 | 
| 11-15 | 120 | 31 | 3 | 3 | 3 | 4 | 
| 8-10 | 90 | 30 | 3 | 3 | 3 | 3 | 
| 4-7 | 60 | 20 | 3 | 3 | 3 | 3 | 
| 1-3 | 60 | 30 | 2 | 2 | 2 | 2 | 
| Miezi 3 hadi mwaka 1 | 30 | 30 | 1 | 1 | 1 | 1 | 
Wataalamu wa dawa za asili wameshauri utaratibu ufuatao uweze kutumika na watu wataotumia mayai ya kware kwa ajili ya kusaidia matibabu ya ugonjwa husika kama ifuatavyo:- 
| Kwa Watoto: Ulaji wa mayai ya kware unashauriwa kwa watoto yakiwa mabichi au yamepikwa kwa ajili ya nguvu za mwili na akili. mayai ya kware yanakuza akili. |  | 
| Ukuaji wa mwili na Afya | 100eggs | 
| Kuimarisha misuli na kufanya ubongo ufanye kazi vizuri | 120eggs | 
| Kwa Wazee: Mayai ya kware yanatabia kubwa ya kukuza celi za mwili hivyo inashauriwa sana kwa wazee kutumia. Inaweza kuppoza makali/au kutibu magonjwa mengi yanayoendana na uzee, ukosefu au kuzidi kwa virutubisho mwilini. |  | 
| Mayai ya Kware yanasaidia kuirudisha Afya ya binadamu katika hali ya kawaida na kusaidia ukuaji. | 240eggs | 
| Kurudisha kumbukumbu na kurinda seli husika | 120eggs | 
| improves sexual potency | 120eggs | 
| Kuimarisha kiungo kilichodumaa kutokana na kazi nyingi au msongo wa mawazo. | 240eggs | 
| Kuimarisha Mwili. | 240eggs | 
| Matibabu ya Allergy |  | 
| Pumu | 240eggs | 
| Madoa katika Ngozi | 120eggs | 
| Eczema conjunctivitis (Kuathirika kwa kiwambo cha jicho kutokana na Allergy) | 120eggs | 
| Allergic rhinitis (kuathirika kwa ndani ya pua kutokana na Allergy) | 240eggs | 
| Matibabu ya Mfumo wa Mmeng'enyo |  | 
| Vidonda vya Tumbo | 240eggs | 
| Kuchelewa mmeng'enyo wa chakula. | 120eggs | 
| Utoaji wa kemikali nyingi za kusaidia mmeng'enyo kuliko kawaida. | 120eggs | 
| Matibabu ya Magonjwa ya Ini |  | 
| Imarisha utendaji kazi wa Viungo | 240eggs | 
| Matibabu ya Magonjwa ya Figo |  | 
| Imarisha utendaji kazi wa Viungo | 240eggs | 
| Matibabu ya Magonjwa ya Moyo |  | 
| Improves the functioning of the heart in the case of coronary sclerosis | 240eggs | 
| Matibabu ya Mzunguko wa Damu |  | 
| Anaemia | 240eggs | 
| Arterial hypertension | 240eggs | 
| Treatment of metabolic diseases: |  | 
| gouts | 240eggs | 
| Kitambi/Utapiamlo | 240eggs | 
| Kisukari | 240eggs | 
| Matibabu ya Akili |  | 
| neurasthenics | 240eggs | 
| Afya ya Akili | 240eggs | 
| Faida za Mayai ya Kware wakati wa Mimba na Unyonyeshaji Mtoto: |  | 
| Matumizi ya mayai ya Kware huimarisha mwili wa mama kabla na baada ya kujifungua pamoja na baada ya operation na matibabu yanayohusisha mashine za mionzi kama X-Ray. Pia huimarisha akili na mwili wa mtoto pamoja na kumsaidia mama kuimarika baada ya kujifungua. Mayai ya Kware husaidia kuongeza ubora wa maziwa ya mama. | 240eggs | 
| HIV, AIDS: |  | 
| Matumizi ya mayai ya kware huongeza kinga ya mwili yaani CD4. | 240eggs | 
 
 
Post a Comment