Ads (728x90)

Tunapata maswali mengi watu wakiuliza jinsi ya kutambua jinsia ya kware kwa urahisi. 

Kware mwenye rangi ya kawaida ya madoa meusi ni rahisi zaidi kuwatambua na ni kwa jinsi walivyo juu ya kifua chao. 

Kware jike chini ya kifua kina madoa na kinakuwa kifua kilichotanuka kidogo na kware dume kifua chake sio kinene na hakina madoa kama picha zinavyoonyesha. 


Kama unafuga kware wa aina tofauti au mchanganyiko itakuwa ngumu kujua kwa kuangalia kifua. hapa chini ni video inayoelezea jinsi ya kuwatambua jinsia:

                     

Post a Comment